Posts

RAIS MHE. SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM

Image
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo baada ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es s

KUTOKA MAGAZETINI LEO IJUMAA JULAI 30, 2021

Image
 

RC KUNENGE APOKEA MISAADA YA VIFAA KWA AJILI YA WANAFUNZI WALIOATHIRIKA KUTOKANA NA BWENI LA WASICHANA SEKONDARI YA KIWANGWA KUTEKETEA KWA MOTO

Image
NA MWANDISHI WETU MKUU wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amepokea misaada ya vifaa mbalimbali kuwasaidia wanafunzi waliathirika kutokana na ajali ya moto iliyotokea katika bweni la wasichana shule ya sekondari Kiwangwa iliyoko jimbo la Chalinze Mkoani Pwani majira ya saa 1 usiku Julai 22/2021. “Tumekuja hapa na wadau ambao wametupatia misada mbalimbali, Jukumu letu la kwanza lilikuwa ni kuhakikisha watoto wetu wako salama, na kwakweli wako salama na tunamshukuru mwenyezimungu hatukuweza kupata madhara ya kuweza kupoteza maisha ukiacha mshtuko walioupata baadhi yao, na jukumu letu la pili ni kuhakikisha kuhakikisha baada ya kuwa salama wanaendelea kupata sehemu ya makazi ili waendelee na masomo.” Alisema RC Kunenge. Alisema vifaa vya msingi kama magodoro, mashuka, mito, madaftari, na mahitaji mengine ya watoto hao wa kike vimepatikana. Alisema katika ajali hiyo mabweni mawili ya wasichana yaliteketea kwa moto, na amewashukuru sana wadau hao kutokana na misaada hiyo ambayo k

MAFIA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA PASS KUKUZA BIASHARA ZAO.

Image
  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya PASS Trust, Anna Shanalingigwa akizungumza Wadau wa kilimo, uvuvi na ufugaji wilayani Mafia katika warsha ya siku mja iliyofanyika jana. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Martin Mtemo ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza katika warsha hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Mafia,Martin Mtemo (katikati) akiwa na timu ya Wafanyakazi wa PASS walipotembelea Kiwanda cha Usamabazaji Samaki cha Mkaire General Supplies kinacho milikiwa na  Ismail Kamugisha Mkazi wa Mafia ambaye amekiboresha baada ya kuwezeshwa na PASS. Na Mwandishi Wetu, Mafia WADAU wa kilimo, uvuvi na ufugaji wilayani Mafia wameaswa kutumia fursa ya Upatikanaji wa mikopo ya fedha na zana za kisasa za kutendea kazi zao kupitia huduma zinazowezeshwa na Taasisi ya PASS TRUST ikishirikiana na Kampuni tanzu yake ya PASS LEASING. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Martin Mtemo alipokuwa akizungumza na wadau hao walipokutana katika warsha maalumu ya wiki ya PASS iliyoandaliwa na Kampuni hiyo wilyani

RC KUNENGE AKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHA CHA KUZALISHA NYAYA ZA MKONGO WA MAWASILIANO HUKO MKURANGA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe Abubakar Kunenge, amepongeza uwekezaji unaofanywa na kampuni ya Raddy Dibre Solution inayomilikiwa na wazawa katika kijiji cha Mwanambaya wilaya ya Mkuranga mkoani humo. Pongezi hizo amezitoa Julai 28, 2021 wakati wa ziara ya kutembelea miradi inayowekezwa na wawekezaji kwenye wilaya ya Mkuranga ambapo alikuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza nyaya za mkongo wa wa mawasiliano (Optic Fibre Cable) kikiwa katika hatua za mwisho kabla ya kuanza uzalishaji. Thamani ya uwekezaji wa kiwanda hicho kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha nyaya zenye urefu wa kilomita 24,000 kwa mwaka ni shilingi bilioni 17 na ujenzi wake utakapokamilika kitatoa ajira za moja kwa moja 400.  "Napongeza uwekezaji huu, na ni vema viwanda hizi vifahamike, ni kiwanda muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, hongereni sana kwa uwekezaji huu.". Akieleza Changamoto inayowakabili  Mhandisi wa ujenzi wa kiwanda hicho Paschal Kasheku ameeleza kuwa wanasubiri kuunganishiwa g

JENERALI STEPHEN TOWNSEND WA JESHO LA MAREKANI AFUNGUA MAZOEZI YA PAMOJA VIKOSI MAALUM JWTZ NA MAREKANI NCHINI

Image
Jenerali wa Jeshi la Marekani Stephen Townsend, Kamanda wa US Africa Command alikuwa na ziara siku 2 nchini kuanzia 27-28 Julai, 2021 na alikutana na maafisa wa kijeshi waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kufungua mazoezi ya pamoja, vikosi maalumu, ya kwanza ya aina yake.  

WAKATI UMEFIKA KUUNDWA TUME YA KUPAMBANA NA UDHALILISHAJI KIJINSIA ZANZIBAR: RAIS MWINYI

Image
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar,Tulipotoka,Tulipo na Tunakokwenda, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Jumuiya na Wanasheria Wanawake Zanzibar.(ZAFELA) (Picha na Ikulu BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)  akihutubia na kulifung