Posts

Showing posts from March, 2023

ADVERT; CAR FOR SALE FROM AFD

Image
   

RAIS SAMIA AZINDUA KAMATI YA KUMSHAURI KUHUSU WIZARA YA MAMBO YA NJE

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2023.

MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS AMALIZA ZIARA NCHINI

Image
Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris (kati) akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango wakati akijiandaa kupanda ndege kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Machi 31, 2023 baada ya kukamilisha ziara yake nchini  

KUTOKA MAGAZETINI LEO IJUMAA MACHI 31, 2023

Image
 

BODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA (GBT) YATOA ELIMU KWA WATENDAJI WA MKOA WA PWANI

Image
  NA MWANDISHI WETU, KIBAHA MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaj Aboubakar Kunenge amehimiza ushirikiano baina ya Taasisi za Umma, Binafsi na watendaji kwenye Halmashauri ili kazi ya kuwatumikia wananchi iwe rahisi. Ameyasema hayo wakati akifungua semina ya kujenga uelewa wa shughuli za taasisi mbalimbali za umma na binafsi ikiwemo Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) na watendaji kutoka Halmashauri za Mkoa wa Pwani Machi 30, 2023.   GBT ni taasisi ya Kiserikali ambayo iko chini ya Wizara ya Fedha na Mipango ikisimamiwa na Msajili wa Hazina. (TR).  RC Kunenge a lisema wataalamu lazima wajue viongozi wa kisiasa hawawezi kuwa na maamuzi mazuri kama wataalamu hawatafanya kazi ya kitaalamu inavyotakiwa.   “Lazima tuelewe, serikali ni moja, mlipaji ni mmoja, fedha inatoka fungu moja na inavyopatikana iwe ni Halmashauri au Bodi ya Michezo ya kubahatisha yote inaingia sehemu moja kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha au PST.” Alisema na kuongeza ….   Haiwezekani kwenye Halmashauri kukaw

RAIS SAMIA AMUANDALIA FITARI MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS

Image
  Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amuandalia Futari Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris, Ikulu Jijini Dar es Salaam.