Posts

Showing posts from July, 2022

ANAHITAJI MSAADA WAKO

Image
  Bw Majaliwa  Lugusha, KIASI CHA SHILINGI 7,880,060 /= Kwa jina naitwa Majaliwa Lugusha, naishi Mtoni Kijichi wilaya ya Temeka mkoa wa Dar es Salaam. Kama Namba yangu ya Mpesa : 0758 070 424 kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi nasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu yapata ( Milioni saba laki nane themanini elfu na sitini tu ). Ndugu yangu mpendwa , madaktari wangu, atimae wameniita kwenda kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu ya ziada na ndani Niliendelea kutafuta hospitali mbalimbali kwa matibabu ya ziada juu ya tatizo langu na atimae niliwasiliana na hospitai inaitwa Mayo Clinic nchini MareWAKO AKAPATIWE MATIBABUkani ambapo baada ya mawasiliano nao hali  yangu iliendelea kuwa mbaya mpaka imefikia sasa hivi siwezi kufanya kazi tena na viungo vyangu vyote. Nimefanikiwa kupata rafiki yangu ambae amehaidi kunilipia gharama za matibabu tu ukiachilia gharama za tiketi ya ndege na kujikimu kwangu na anaenisindikiza. Hivyo basi ndugu yangu naandika waraka huu na ku

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI ZANZIBAR

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni  Mwenyekiti wa  Kamati ya Kitaifa ya Sensa leo Julai 30, 2022 ameongoza mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli  Melia Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah pia alishiriki. Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora Dkt. Mhe. Jenista Mhagama akichangia hoja wakati wa kikao hicho. Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia hoja wakati wa kikao. Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 Mhe. Anne Makinda akizungumza wakati wa kikao hicho Mtakwimu Mkuu  wa Serikali Dkt.  Albina  Chuwa pamoja na  Mtakwimu Mkuu  Zanzibar Bw. Salum Kassim Ali wakifuatilia kikao hicho. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakirishi) Mhe. Hamza Hassan Juma  akizugumza  wakati wa kikao hicho. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya akizungumza wakati wa  kikao hicho.  

WAZIRI AWESO ATAKA MABONDE YA MAJI KWENDA KUJIFUNZA BONDE LA KATI UFANISI WA UTENDAJI KAZI

Image
  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Manyara (BAWASA) Idd Msuya (katikati) akimuelezea Waziri wa Maji Jumaa Aweso kuhusu mradi huo. Waziri wa Maji Jumaa Aweso (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa wa ujenzi wa ofisi ya maabara ya bodi ya maji Bonde la Kati, mjini Singida leo Julai, 30, 2022. Kutoka kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Kiaratu, Afisa wa Bodi ya Maji Bonde la Kati, Mhandisi Danford Samson, Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Mulagiri, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Singida, Lusia Mwiru na Mjumbe wa Siasa Mkoa wa Singida, Diana Chilolo. Waziri wa Maji Jumaa Aweso akizindua jengohilo lililopo Kata ya Utemini mjini Singida. Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji Nchini Dk. George Lugomela akitoa taarifa ya mradi huo. Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Taifa, Mhandisi Mbogo Futakamba akizungumza kwenye hafla hiyo. Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Bonde la Kati, William Mabula akizungumza kwenye hafla hiyo.

KINANA ASEMA RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA POLEPOLE LAKINI VITENDO VINGI

Image
  *Asifu miradi ya maendeleo kila kona,mabilioni ya fedha kila mkoa Na Said Mwishehe, Michuzi TV MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amemmwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa anayofanya ya kuleta maendeleo ya Watanzania. Kanali Mstaafu Kinana ametoa sifa hizo kwa Rais Samia wakati akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika Mkoa Mbeya. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa maeneo mbalimbali nchini na kwamba amekuwa ni kiongozi anayezungumza polepole lakini vitendo vyake ni vingi kwani kila mkoa , kila sekta kuna fedha nyingi za maendeleo. “Kote ambako nimepita tangu nilipoanza ziara mkoani Katavi na baadae Rukwa , Songe Rais Samia amepeleka fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo na hapa Mbeya Mkuu wa Mkoa ametoa ushahidi wa fedha nyingi zilizotolewa na Rais kwa ajili ya miradi ya maendeleo,”amesema Kinana Aidha Kinana amewapa salamu za Rais kwa wananchi hao kwamba atafika

USHINDI WA ALPHONCE SIMBU ULISUBIRIWA KWA ZAIDI YA MWONGO MMOJA NA NUSU

Image
Medali ya Fedha aliyoshinda Nahodha wa timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania katika Michezo ya Jumuiya ya Madola 2022 akitumia muda wa  2:12:29, Sajini wa  JWTZ Alphonce Felix Shimbu ni ya kwanza tokea mwaka 2006, zaidi ya Mwongo Mmoja na Nusu. Sajini Simbu alishika nafasi ya pili nyuma ya Mganda Victor Kiplagat aliyetumia muda wa 2:10:55 katika mbio hizo za Marathon jijini Birmingham, Uingereza. Mwaka huo huo wa 2006  mkimbiaji Fabian Joseph pia alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 10,000 huko huko Australia.

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMAPILI JULAI 31, 2022

Image