WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI ZANZIBAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni  Mwenyekiti wa  Kamati ya Kitaifa ya Sensa leo Julai 30, 2022 ameongoza mkutano wa kamati hiyo kwenye ukumbi wa hoteli  Melia Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza, Hemed Suleiman Abdulah pia alishiriki.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora Dkt. Mhe. Jenista Mhagama akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia hoja wakati wa kikao.
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 Mhe. Anne Makinda akizungumza wakati wa kikao hicho

Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa pamoja na Mtakwimu Mkuu Zanzibar Bw. Salum Kassim Ali wakifuatilia kikao hicho.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakirishi) Mhe. Hamza Hassan Juma  akizugumza  wakati wa kikao hicho.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya akizungumza wakati wa kikao hicho.




 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"