USHINDI WA ALPHONCE SIMBU ULISUBIRIWA KWA ZAIDI YA MWONGO MMOJA NA NUSU

Medali ya Fedha aliyoshinda Nahodha wa timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania katika Michezo ya Jumuiya ya Madola 2022 akitumia muda wa  2:12:29, Sajini wa  JWTZ Alphonce Felix Shimbu ni ya kwanza tokea mwaka 2006, zaidi ya Mwongo Mmoja na Nusu.

Sajini Simbu alishika nafasi ya pili nyuma ya Mganda Victor Kiplagat aliyetumia muda wa 2:10:55 katika mbio hizo za Marathon jijini Birmingham, Uingereza.

Mwaka huo huo wa 2006  mkimbiaji Fabian Joseph pia alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 10,000 huko huko Australia.





Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"