Posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS FELIX TSHESEKEDI WA DRC IKULU DAR ES SALAAM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, ambaye  ni Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, ambaye  ni Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30  Julai, 2021.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi ulioongozwa na Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, ulipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30  Julai, 2021. Picha na

JK ACHUKUA "USUKANI" TAASISI YA MFUKO WA WASHIRIKA WAFADHILI WA ELIMU DUNIANI (GPE)

Image
  Viongozi,  Rais Uhuru Kenyata wa Kenya, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania  Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  Zanzibar, Mhe. Simai Mohammed Said na Viongozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika  Mkutano Mkuu wa Mfuko wa Washirika Wafadhili wa Elimu Duniani ( GPE) uliofanyika London ,Uingereza Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Washirika Wafadhili wa Elimu Duniani -Global Partnetship in Education (GPE). Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) Mwenyekiti wa Mfuko wa Washirika Wafadhili wa Elimu Duniani -Global Partnetship in Education (GPE), akiwa katika Picha ya pamoja na WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Tekanolojia, Profesa Joyce Ndalichako(kushoto) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Zanzibar, Mhe. Simai Mohammed Said, wakati wa mkutano huo. Rais mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti anayefuata wa GPE, Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumzia kwenye mkutano wa Kimataifa kuhusu mas

RAIS MSTAAFU KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOJADILI MASUALA YA ELIMU

Image
  Rais mstaafu wa serikali ya awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia mkutano wa Kimataifa kuhusu Elimu jijini London nchini Uingereza Julai 29, 2021. Rais mstaafu Kikwete ni Makamu Mwenyekiti Mteule wa Bodi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE). Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka nchi za kiafrika akiwemo Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Muhamaadu Buhari wa Nigeria, Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, Rais wa Togo  Faure Gnassingbe na mwenyeji Waziri Mkuu wa Uingereza, Borris Johnson. 

RAIS MHE. SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM

Image
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo baada ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es s

KUTOKA MAGAZETINI LEO IJUMAA JULAI 30, 2021

Image
 

RC KUNENGE APOKEA MISAADA YA VIFAA KWA AJILI YA WANAFUNZI WALIOATHIRIKA KUTOKANA NA BWENI LA WASICHANA SEKONDARI YA KIWANGWA KUTEKETEA KWA MOTO

Image
NA MWANDISHI WETU MKUU wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amepokea misaada ya vifaa mbalimbali kuwasaidia wanafunzi waliathirika kutokana na ajali ya moto iliyotokea katika bweni la wasichana shule ya sekondari Kiwangwa iliyoko jimbo la Chalinze Mkoani Pwani majira ya saa 1 usiku Julai 22/2021. “Tumekuja hapa na wadau ambao wametupatia misada mbalimbali, Jukumu letu la kwanza lilikuwa ni kuhakikisha watoto wetu wako salama, na kwakweli wako salama na tunamshukuru mwenyezimungu hatukuweza kupata madhara ya kuweza kupoteza maisha ukiacha mshtuko walioupata baadhi yao, na jukumu letu la pili ni kuhakikisha kuhakikisha baada ya kuwa salama wanaendelea kupata sehemu ya makazi ili waendelee na masomo.” Alisema RC Kunenge. Alisema vifaa vya msingi kama magodoro, mashuka, mito, madaftari, na mahitaji mengine ya watoto hao wa kike vimepatikana. Alisema katika ajali hiyo mabweni mawili ya wasichana yaliteketea kwa moto, na amewashukuru sana wadau hao kutokana na misaada hiyo ambayo k

MAFIA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA PASS KUKUZA BIASHARA ZAO.

Image
  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya PASS Trust, Anna Shanalingigwa akizungumza Wadau wa kilimo, uvuvi na ufugaji wilayani Mafia katika warsha ya siku mja iliyofanyika jana. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Martin Mtemo ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza katika warsha hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Mafia,Martin Mtemo (katikati) akiwa na timu ya Wafanyakazi wa PASS walipotembelea Kiwanda cha Usamabazaji Samaki cha Mkaire General Supplies kinacho milikiwa na  Ismail Kamugisha Mkazi wa Mafia ambaye amekiboresha baada ya kuwezeshwa na PASS. Na Mwandishi Wetu, Mafia WADAU wa kilimo, uvuvi na ufugaji wilayani Mafia wameaswa kutumia fursa ya Upatikanaji wa mikopo ya fedha na zana za kisasa za kutendea kazi zao kupitia huduma zinazowezeshwa na Taasisi ya PASS TRUST ikishirikiana na Kampuni tanzu yake ya PASS LEASING. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Martin Mtemo alipokuwa akizungumza na wadau hao walipokutana katika warsha maalumu ya wiki ya PASS iliyoandaliwa na Kampuni hiyo wilyani