Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia mada kuhusu bonde la Mto Kilombero katika kikao kilichofanyika mjini Morogoro jana. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akielezea kuhusu msimamo wa Serikali wa kukabiliana na uvamizi wa bonde la Mto Kilombero, kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kilichofanyika mjini Morogoro jana. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angelina Mabula (Mb) akizungumza kuhusu msimamo wa Serikali juu ya mipaka ya ardhi ya vijiji vilivyo jirani na bonde la Kilombero wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kilichofanyika mjini Morogoro jana. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martin Shigela akizungumza neno la utangulizi kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kilichofanyika mjini Morogoro jana. Afisa Wanyamapori Mkuu kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Pellage Kauz