Posts

DKT. BASHIRU ALLY ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI

Image
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa .  

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE MSINGI UJENZI WA KIWANDA CHA USHONAJI BOHARI KUU YA JESHI LA POLISI, AFUNGUA MAJENGO YA OFISI, MADARASA NA MABWENI YA CHUO CHA TAALUMA CHA POLISI KURASINI MKOANI DAR ES SALAAM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kukagua Majengo ya Madarasa ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam mara baada ya kuyafungua leo tarehe 26 Februari 2021 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021 . Rais wa Jamhuri ya

MIKOA 16 TANZANIA BARA INA MAENEO YENYE VIASHIRIA VYA JOTOARDHI

Image
NA K-VIS BLOG, MOROGORO MIKOA 16 Tanzania Bara ina maeneo yenye viashiria vya Jotoardhi vipatavyo 50, Meneja Mkuu, Kampuni Tanzu ya TANESCO ya Jotoardhi, Tanzania Geothermal Development Company Limited   (TGDC), Mhandisi Kato Kabaka (pichani juu)  amesema. Mhandisi Kabaka ameyasema hayo  leo Februari 26, 2021  Kikao Kazi cha TANESCO na Wahariri Waandamizi wa vyombo vya habari   kinachofanyika kwenye ukumbi wa NSSF mjini Morogoro  Mhandisi Kato ameitaja mikoa hiyo kuwa ni pamoja na Arusha, Dodoma, Iringa, Pwani, Kilimanjaro, Kagera, Katavi na Mbeya. Mikoa mingine aliitaja kuwa ni pamoja na Shinyanga, Morogoro, Mara, Manyara, Rukwa, Singida, Songwe na Tanga. “M aeneo hayo mengi yanapatikana katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki ambalo linapita hadi Kenya na inaelezwa kuwa katika bonde hilo kuna takriban 15,000MW za jotoardhi na wenzetu Kenya tayari wanazalisha zaidi ya 700MW za Jotoardhi na umeme 800MW.” Alisema na kuongeza kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na zaidi ya Megawati

TANZANIA INAZIADA YA UMEME MEGAWATI 424.28

Image
NA K-VIS BLOG, MOROGORO TANZANIA kwa sasa inazalisha umeme Megawati 1, 604.81 kwa siku na mahitaji ya juu kabisa ya umeme nchi nzima ni Megawati 1,180.53, na hivyo kufanya kuwepo kwa ziada ya umeme Megawati 424.28, Meneja Mwandamizi wa Uzalishaji Umeme (power generation) kutoka Shirika la Umeme Nchini TANESCO, Mhandisi Stephen Manda (pichani juu) amesema. Akiwasilisha mada kuhusu moja ya jukumu la TANESCO la kuzalisha umeme (Generation) kwenye kikao kazi cha TANESCO na Wahariri Waandamizi wa vyombo vya habari leo Februari 26, 2021 kwenye ukumbi wa NSSSF mkoani Morogoro alisema TANESCO inazalisha Megawati 1,393.45 na wazalishaji binafsi wanachangia kiasi cha Megawati 211.36. Akifafanua zaidi, Mhandisi Manda alisema Gridi ya Taifa inabeba umeme Megawati 1,567.951 ambapo asilimia 87 ya umeme huo unazalishwa na TANESCO huku asilimia 33.126 unatoka kwa wazalishaji binafsi. Mhandisi Manda alisema, ni matatrajio ya taifa kuwa mradi mkubwa wa umeme wa Julius Nyerere wa Megawati 2115 utaleta on

NAIBU WAZIRI MABULA HARIDHISHWI NA HUDUMA ZA ARDHI NJOMBE

Image
Na  Munir Shemweta, NJOMBE Wakati Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ikifanya jitihada mbalimbali kuhakikisha sekta ya ardhi inapiga hatua katika kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, mkoa wa Njombe kupitia halmashauri zake umeonekana kuwa nyuma katika juhudi hizo na kumfanya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula kutoridhishwa na utoaji huduma za sekta ya ardhi katika mkoa huo. Hali hiyo imebainika wakati wa kikao cha kazi baina ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Dkt Mabula na watendaji wa sekta ya ardhi pamoja na wakurugenzi wa halmashauri za mkoa wa Njombe kilichofanyika  tarehe 25 Februari 2021 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe. Akisoma taarifa ya utekelezaji kazi za ofisi ya ardhi mkoa wa Njombe, Kmaishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Njombe Christopher Mwamasage alisema, tangu kuanzishwa ofisi ya ardhi mkoa mwezi Machi, 2020 ofisi hiyo imetekeleza majukumu mbalimbali ikiwemo kuandaa michoro 59 ya Mipango Mij

CRDB SHINYANGA YAZINDUA RASMI HUDUMA YA 'BENKI NI SIMBANKING' MZIGO UMEBORESHWA

Image
  Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney akizungumza leo Alhamis Februari 25,2021 wakati wa uzinduzi wa huduma ya fedha kupitia simu ' Sim Banking' iliyoboreshwa kupewa jina la Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ itakayowawezesha wateja kufanya huduma zote za kibenki kupitia simu.   Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney akizungumza leo Alhamis Februari 25,2021 wakati wa uzinduzi wa huduma ya fedha kupitia simu ' Sim Banking' iliyoboreshwa kupewa jina la Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ itakayowawezesha wateja kufanya huduma zote za kibenki kupitia simu.   Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney akizungumza leo Alhamis Februari 25,2021 wakati wa uzinduzi wa huduma ya fedha kupitia simu ' Sim Banking' iliyoboreshwa kupewa jina la Benki ni SimBanking ‘Mzigo Umeboreshwa’ itakayowawezesha wateja kufanya huduma zote za kibenki kupitia simu.   Afisa wa Benki y