Friday, February 26, 2021

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE MSINGI UJENZI WA KIWANDA CHA USHONAJI BOHARI KUU YA JESHI LA POLISI, AFUNGUA MAJENGO YA OFISI, MADARASA NA MABWENI YA CHUO CHA TAALUMA CHA POLISI KURASINI MKOANI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kukagua Majengo ya Madarasa ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam mara baada ya kuyafungua leo tarehe 26 Februari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo 26 Februari 2021.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021.

Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam kama yanavyooekana mara baada ya kufunguliwa leo tarehe 26 Februari 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli

Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021.

Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021.

Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro akizungumza kwenye mkutano mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi,  PICHA NA IKULU

0 comments:

Post a Comment