Posts

RAIS SAMIA AONGOZA WANANCHI SHEREHE ZA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HUKU MVUA IKINYESHA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, 26 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, 26 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, 26 Aprili, 2024. Rais akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. She

RAIS MWINYI KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kuwa muumini wa dhati wa Muungano kwa kuudumisha na kuuimarisha kwa faida ya kizazi cha sasa na vijavyo. \n\nRais Dk.Mwinyi akizungumza katika kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yalioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 , Aprili 2024.\n\nAidha Rais Dk.Mwinyi amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Imeendelea kupata sifa na heshima kubwa kimataifa kwa kuwa nchi ya mfano kwa kudumu kwa Muungano wa kuwa na amani , umoja na mshikamano .\n\nHalikadhalika Rais Dk.Mwinyi amesema Tanzania imepata mafanikio makubwa yaliyotokana na Muungano katika sekta mbalimbali kiuchumi na huduma za kijamii.\n\nKwa upande mwingine Rais Dk.Mwinyi amewashukuru Viongozi wa awamu zilizopita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanziba

MSAJILI WA HAZINA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA HESLB

Image
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Bill Kiwia (wa pili kushoto), katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Dkt. Bill Kiwia (kushoto), akizungumza alipokuwa akitoa wasilisho lake kwa Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu (kulia), katika kikao hicho. Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu (kushoto), akiagana na mgeni wake  Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dkt. Bill Kiwia (kulia), mara baada ya kumaliza mazungumzo yao, katika kikao kilichofanyika Dar es Salaam. DAR ES SALAAM. Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) iliyoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Dkt. Bill Kiwia. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Msajili wa Hazina Aprili 25, 2024 Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kujitambulisha kwa Menejimenti hiyo, kufua

MIFUKO HIFADHI YA JAMII ISIGEUZWE UPATU – WATAALAMU

Image
  * Wasema “itakuwa kama DECI – wastaafu wa sasa kutakata, wa kesho chali”   Na Mwandishi Wetu, Arusha. UNAWEZA kushangaa pale ambapo Shirika la Kazi Duniani, ILO, linawalalamikia viongozi wa Chama cha Wafanyakazi Tanzania, TUCTA, kwamba wanaua mifuko ya hifadhi ya jamii nchini, baada ya kupandisha kikokotoo. Kwa nini ILO wawalalamikie TUCTA wakatii kikokotoo kimepanda juu sana kuliko taifa lolote duniani, hata kuyazidi mataifa yote yenye uchumi mkubwa zaidi duniani kama Marekani, China, Ujerumani, Uingereza, Japan, Ufaransa na hata Afrika ya Kusini? Shirika la kazi Duniani liliona Kikokotoo cha asilimia 50 kilikuwa kinakwenda kuifilisi mifuko ya hifadhi ya jamii. ILO wenyewe wakalalamika. Hata Kikokotoo chetu cha sasa cha asilimia 33, ILO wametuweka kwenye uangalizi (red flag). Hata hivyo, kwa huruma tu, tunaweza kupanda kidogo, iwapo Serikali itaamua kuingiza fedha zake, jambo ambalo linahitaji uangalifu mkubwa. Labda elimu ya kina itolewe kwa watanzania na wapotoshaji wadh

KUTOKA MAGAZETINI LEO APRILI 26, 2024

Image