Posts

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMAPILI FEBRUARI 27, 2022

Image
 

SPIKA DKT. TULIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAFINGA MKOANI IRINGA

Image
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa Mafinga Wilaya ya Mafundi Mkoani Iringa waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akielekea Mkoani Mbeya leo  Februari 26, 2022 Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa Mafinga Wilaya ya Mafundi Mkoani Iringa waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akielekea Mkoani Mbeya leo  Februari 26, 2022 Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi ya asali kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mufindi, Ndg. Daudi Yassin baada ya kuzungumza na wananchi wa Mafinga Wilaya ya Mafundi Mkoani Iringa waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akielekea Mkoani Mbeya leo  Februari 26, 2022 Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisaini kitabu cha wageni cha ofisi ya Chama na Serikali kabla ya kuzungumza na wananchi wa Mafinga Wilaya ya Mafundi Mkoani Iringa waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akielekea Mkoani Mbeya leo  Februari 26, 2022   Wananchi Mbalimbali wa Mafing

RAIS SAMIA AHUTUBIA DUBAI EXPO 2020

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, pamoja na wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Duniani katika Siku ya Kitaifa ya Tanzania katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 26 Februari, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE katika maonesho hayo ya Dubai Expo 2020 leo tarehe 26 Februari, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE katika maonesho hayo ya Dubai Expo 2020 leo tarehe 26 Februari, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE katika maonesho hayo ya Dubai Expo 2020 leo tarehe 26 Februari, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Umoja wa Falme za Ki

RAIS SAMIA AKUTANA NA MTAWALA WA DUBAI, SHEIKH MOHAMMED BIN RASHID AL MAKTOUM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais  ambaye pia ni Waziri Mkuu wa  Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum mara baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayoendelea katika Mji wa Dubai leo tarehe 26 Februari, 2022.  ( PICHA IKULU)  

RAIS SAMIA AKUTANA NA MWANA MFALME WA ABU DHABI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Mwanamfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Majeshi ya nchi za Falme za Kiarabu UAE Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan Jijini Abu Dhabi leo tarehe 25 Febuari 2022 .  

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMAMOSI FEB 26, 2022

Image
 

WACHANGIA DAMU MARA KWA MARA SASA KUTAMBULIKA KWA KADI ZA KIELETRONIKI

Image
  Na WAF - Dar Es Salaam  Serikali kupitia wizara ya Afya imejipanga kutoa kadi za kieletroniki kwa wachangiaji damu wanaojitolea mara kwa mara angalau mara tatu kwa mwaka. Hayo yamesemwa leo Februari 25, 2022 na Waziri wa afya Mhe. Ummy Mwalimu alipokuwa katika ziara ya kutembelea makao  kuu ya mpango wa taifa wa damu salama jijini Dar es Salaam.  Waziri Ummy amesema Kadi za kieletroniki zitaepusha usumbufu kwa wachangia damu endapo watahitaji huduma ya damu kwani kadi hizo zitaonesha jina la mchangiaji damu, kundi la damu yake na namba ya kadi, na mchangiaji huyu atapewa kipaumbele akiwa na mgonjwa hata yeye mwenyewe. "Kila Mtanzania ana haki ya kupata damu lakini kwa wale ambao watakaokuwa na kadi watapewa kipaumbele cha kwanza". Amesema Waziri Ummy. Katika hatua nyingine Waziri Ummy amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeamua kutoa bure mifuko ya kukusanyia damu salama pamoja na vifaa vya ukusanyaji kwa Halmashauri zote nchini 184 ili kwend