SPIKA DKT. TULIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAFINGA MKOANI IRINGA

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa Mafinga Wilaya ya Mafundi Mkoani Iringa waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akielekea Mkoani Mbeya leo Februari 26, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa Mafinga Wilaya ya Mafundi Mkoani Iringa waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akielekea Mkoani Mbeya leo Februari 26, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi ya asali kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mufindi, Ndg. Daudi Yassin baada ya kuzungumza na wananchi wa Mafinga Wilaya ya Mafundi Mkoani Iringa waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akielekea Mkoani Mbeya leo Februari 26, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisaini kitabu cha wageni cha ofisi ya Chama na Serikali kabla ya kuzungumza na wananchi wa Mafinga Wilaya ya Mafundi Mkoani Iringa waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akielekea Mkoani Mbeya leo Februari 26, 2022
 Wananchi Mbalimbali wa Mafinga Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa waliojitokeza kumsalimia Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), kabla ya kuelekea Mkoani Mbeya leo Februari 26, 2022. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)  


Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"