TAKUKURU SINGIDA YACHUNGUZA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA BILIONI.1
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida, Mzalendo Widege , akitoa taarifa kwa waandishi wa habari ya utekelezaji wa shughuli za taasisi hiyo katika kipindi cha robo ya nne ya mwakawa fedha 2020/2021. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Taasisi hiyo Mkoa wa Singida, Adamu Kilongozi. Maafisa wa Takukuru wakiwa katika kikao hicho cha utoaji wa taarifa kwa waandishi wa habari. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma wa Taasisi hiyo Mkoa wa Singida, Samson Julius, Mkuu wa Taasisi hiyo Wilaya ya Iramba, Ahmed Sungura na Mkuu wa Taasisi hiyo Wilaya ya Mlalama, Yasini Mohamed. Maafisa wa Takukuru wakiwa katika kikao hicho. Kutoka kushoto ni Paul Kaheshi na Theopister Tembo. Maafisa wa Takukuru wakiwa katika kikao hicho. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Taasisi hiyo Wilaya ya Ikungi, Erick Nyoni na Hamisi Kilulani. Afisa Takukuru Mkoa wa Singida, Shemu Mgaya akiwa kwenye kikao hicho. Maafisa wa Takukuru wakiwa katika kikao hicho cha utoaji wa taarifa kwa waan