Wednesday, July 28, 2021

RAIS SAMIA AZINDUA MIRADI ILIYOFADHILIWA NA UJERUMANI KWA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa MAJESHI ya Ulinzi, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Utepe kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Lugalo Jijini Dar es salaam leo Julai 28,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa MAJESHI ya Ulinzi, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Lugalo Jijini Dar es salaam leo Julai 28,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa MAJESHI ya ulinzi, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo  kuhusu uchunguzi wa Magonjwa Ambukizi baada ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Lugalo Jijini Dar es salaam leo Julai 28,2021. (Picha na Ikulu )

 

0 comments:

Post a Comment