Posts

WAZIRI MCHENGERWA AONGOZA MKUTANO WA PILI WA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA UMOJA WA AFRI

Image
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Na. 8 ya Kamisheni ya Umoja wa Afrika na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Kamati Na. 8 inayoshughulika na masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala akiongoza Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Maadili na Misingi ya Utumishi wa Umma na Utawala Afrika kwa njia ya mtandao. Na Mary Mwakapenda-Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Na.8 ya Kamisheni ya Umoja wa Afrika na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Kamati Na. 8 inayoshughulika na masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala leo ameongoza Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Maadili na Misingi ya Utumishi wa Umma na Utawala Afrika kwa njia ya mtandao. Mhe. Mchengerwa ameongoza Mkutano huo ili kupitia na kuidhinisha ajenda mbalimbali zilizowasilishwa na Mkut

RAIS MWINYI AFUTURISHA DODOMA

Image
  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo amejumuika na mamia ya waislamu katika Iftari aliyoiandaa kwa ajili yao na kufanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Conversion centre, Jijini Dodoma,  Katika hafla hiyo viongozi mbali mbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) walihudhuria, akiwemo Rais mstaafu wa awamu ya saba ya Serikali ya Mapinduzi ya    Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, Mama Maryam Mwinyi na Mama Mwanamwema Shein .  Wengine ni pamoja na Makamo wa Pili Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hemed Suleiman Abdalla, Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Serikali za SMZ na SMT, Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmeid,    Wabunge, Wawakilishi, Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na wageni mbali mbali.  Akitoa shukran kwa waalikwa, Dk. Mwinyi amesema amefarikijika sana na muitikio wa waumini hao, mbali na mialiko kutolewa katika kipindi kifupi.  Amesema ameamua kuandaa futari hiyo

KUTOKA MAGAZETINI LEO IJUMAA APRILI 30, 2021

Image
 

UZINDUZI WA MKUTANO WA WADAU WA AFUA ZA VVU NA UKIMWI DODOMA

Image
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Protabas Katambi akikagua banda la Epidemic Control (EPIC) wakati wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wanaotekeleza Afua za VVU na UKIMWI zinazowalenga wasichana Balehe na Wanawake Vijana unaofanyika leo April 29 jijini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Protabas Katambi akizungumza na Vijana wakati wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wanaotekeleza Afua za VVU na UKIMWI zinazowalenga wasichana Balehe na Wanawake Vijana unaofanyika leo April 29  jijini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Protabas Katambi akikagua banda la Amref Tanzania wakati wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wanaotekeleza Afua za VVU na UKIMWI zinazowalenga wasichana Balehe na Wanawake Vijana unaofanyika  April 29  jijini Dodoma. Picha na Raymond Mushumbusi WAMJW Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Protabas Katambi akikagua banda la Tanzania Youth Alliance (TAYOA) wakati wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wanaotekeleza Afua za VVU na UKIMWI zinazowalenga wasichana Balehe na Wanawake Vijana unaofany

IGP SIRRO AZINDUA KITABU CHA MUONGOZO WA KUZUIA NA KUFICHUA UHALIFU,

Image
  MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka watu wanaopata msamaha wa vifungo kutoka gerezani kuacha kujihusisha na uvunjifu wa amani ikiwa pamoja na kuacha kujiingiza tena kwenye matukio ya uhalifu na badala yake wajikite katika kuleta maendeleo kwenye jamii. IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizindua kitabu cha muongozo wa kufichua na kuzuia uhalifu kitabu ambacho kinalenga kutoa dira hasa katika utekelezaji wa mpango wa Polisi kata kupitia mpango mkakati wa ushirikishwaji wa jamii

PICHA: NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI KUTOKA NMB BENKI JIJINI DODOMA

Image
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na Watendaji wa Benki ya  NMB wakiongozwa na  Mkurugenzi  Mkuu  wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (watatu kulia) walipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mkurugenzi  Mkuu  wa Benki ya  NMB , Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akifurahi jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Wageni wengine ni watendaji kutoka Benki hiyo  

HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM YAKETI JIJINI DODOMA

Image
  Wajumbe mbalimbali wa NEC wakiwa katika Kikao hicho cha NEC kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma. PICHA NA IKULU. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM (Bara) Rodrick Mpogolo akizungumza katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama, White House Jijini Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Mjumbe wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Philip Mangula  Mjumbe wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali M