PICHA: NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI KUTOKA NMB BENKI JIJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na Watendaji wa Benki ya NMB wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (watatu kulia) walipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akifurahi jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Wageni wengine ni watendaji kutoka Benki hiyo
 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"