Posts

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATANO OKTOBA 28, 2020

Image
 

RC KUNENGE AWATAKA BODABODA KUWAFICHUA WAHALIFU, ASEMA SERIKALI ITAENDELEA KUWAWEKEA MAZINGIRA BORA YA KAZI

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewataka waendesha Bodaboda na Bajaji kuwa  mabalozi wazuri wa kulinda amani na utulivu wa Mkoa huo na kuwaomba kutoa taarifa pindi wanapobaini watu au kundi la watu wahalifu. RC Kunenge ametoa kauli hiyo leo wakati wa mkutano na waendesha bodaboda na Bajaji uliofanyika viwanja vya Mnazi mmoja jijini humo ambapo amesema kazi yao imewafanya wakutane na watu wa aina mbalimbali ikiwemo wahalifu hivyo ni vizuri wakashirikiana na jeshi la polisi pindi wanapoona viashiria vya uvunjifu wa amani. Aidha RC Kunenge amewahakikishia ushirikiano na Serikali kwenye masuala mbalimbali huku akiwahimiza kuchangamkia fursa ya mikopo inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri. Pamoja na hayo RC Kunenge amesema Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli imefanya kazi kubwa Katika kuwatatulia changamoto na kero zilizokuwa zikiwakabili na itaendelea kuwawekea mazingira Bora na salama ya kufanya kazi ili kuhakikisha ajira yao inaheshimika

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMANNE OKTOBA 27, 2020

Image
 

KILIMO SHADIDI CHA MPUNGA KUONGEZA TIJA KWA WAKULIMA NCHINI.

Image
  Dkt. Devotha Kilave Mtafiti akiwasilisha matokeo ya utafiti wa Kilimo Shadidi cha Mpunga mbele ya waandishi wa habari. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia uwasilishwaji wa matokeo hayo ya utafiti ili wayafikishe kwa jamii. Waandishi wa habari wakochukua vipeperushi na machapisho mbalimbali ya matokeo ya Tafiti zilizofanhwa na Mradi wa APRA Tanzania. Mkuu wa Mradi wa APRA Tanzania Profesa. Aida Isinika akichangia neno kwenye uwasilishwaji wa matokeo ya utafiti wa Kilimo Shadidi cha mpunga uliowasioishwa na Dkt. Devotha Kilave. Waandishi wa habari wakifuatilia uwasilishwaji wa matokeo hayo ya utafiti wa Mradi wa APRA Mkoani Morogoro kwenye ukumbi wa ICE - SUA. Mwandishi wa habari wa Gazeti ka the Citizen Jacob Mosenda akiuliza swali kwa watafiti ili kupata ufafanuzi zaidi. Waandishi wa habari wakifuatilia uwasilishwaji wa matokeo hayo ya utafiti wa Mradi wa APRA Mkoani Morogoro kwenye ukumbi wa ICE - SUA.   Na Calvin Gwabara, Morogoro WATAFITI wa

RAIS DKTMAGUFULI ASHUHUDIA MUFTI WA TANZANIA AKIFUNGUA RASMI MSIKITI WA CHAMWINO IKULUN DODOMA

Image
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana kukata utepe na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) pamoja na viongozi wengine, wakati wa ufunguzi wa rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini Dodoma. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameungana na viongozi wengine kupokea dua iliyokuwa ikisomwa na  Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) katika ufunguzi rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini Dodoma.   Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana pamoja na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) kufungua kitambaa kwenye jiwe la msingi, wakati wa ufunguzi wa rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini Dodoma. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana pamoja na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) kufungua kitambaa kwenye jiwe la msingi, wakati wa ufunguzi wa rasmi