RAIS DKTMAGUFULI ASHUHUDIA MUFTI WA TANZANIA AKIFUNGUA RASMI MSIKITI WA CHAMWINO IKULUN DODOMA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana kukata utepe na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) pamoja na viongozi wengine, wakati wa ufunguzi wa rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini Dodoma.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameungana na viongozi wengine kupokea dua iliyokuwa ikisomwa na  Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) katika ufunguzi rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini Dodoma.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana pamoja na
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) kufungua kitambaa kwenye jiwe la msingi, wakati wa ufunguzi wa rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini
Dodoma.

Dodoma.(PICHA NA IKULU).

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"