MAANDALIZI YA KUMPOKEA MGOMBEA URAIS WA CCM MKOANI SINGIDA YANAENDELEA
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida Ahmed Kaburu, akionesha l lani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kumpokea mgombea Urais wa chama hicho Dkt.John Magufuli ambaye anatarajia kuwasili mkoani hapa kesho. Mabango yenye picha za mgombea huyo yakiwekwa Barabara Kuu ya Singida Dodoma. Watoto Ashiruna Athumani (kushoto) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Utemini mkoani hapa na wadogo zake wakitazama picha ya mgombea huyo iliyoweka viwanja vya Bombadia. Vijana wa Jeshi la Akiba wakisafisha eneo la uwanja utakapofanyika mkutano wa mgombea huyo. Uwanja utakapofanyika mkutano huo. Mabango yenye picha za mgombea huyo yakiwa yamewekwa Barabara Kuu ya Singida Dodoma. Mafundi wakiendelea na kazi ya kusimika Jukwaa utakapofanyika mkutano huo. Mafundi wakiendelea na kazi ya kusimika Jukwaa utakapofanyika mkutano huo. Wajasiriamali wakichangamkia fursa ya mku