Posts

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU AGOSTI 31, 2020

Image
 

MSITU WA MINYUGHE ULIOPO IKUNGI MKOANI SINGIDA UPO HATARINI KUTOWEKA

Image
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida  ambaye pia ni mkuu wa wilaya hiyo, Edward Mpogolo (kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo, viongozi wa Kata ya Mwaru pamoja na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki, wakati akikagua Msitu wa Minyughe ambao umevamiwa na kufanyika uharibifu mkubwa wa mazingira. Miti ikiwa imekatwa kwenye msitu huo. Miti ikiwa imekatwa kwenye msitu huo. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida  ambaye pia ni mkuu wa wilaya hiyo, Edward Mpogolo (katikati) na  wajumbe wa kamati hiyo na viongozi wa Kata ya Mwaru  wakiangalia mkaa uliotelekezwa na wavamizi katika msitu huo. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida  ambaye pia ni mkuu wa wilaya hiyo, Edward Mpogolo (katikati) akiwaonesha wajumbe wa kamati hiyo mkaa uliotaifishwa na Serikali baada ya kutelekezwa na wavamizi katika Msitu wa Minyughe wilayani humo mwishoni mwa wiki wakati akikagua msitu huo.

WAZIRI UMMY ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA ANGLIKANA CHUMBAGENI TANGA,ATOA NENO KWA VIONGOZI WA DINI

Image
  WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza wakati alipoongoza  harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanga Mtaa wa Mtakatifu Augustino wa Hippo Chumbageni Tanga kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kushoto ni Canon  Rev Chistopher Kiango ambaye ni Kasisi kiongozi wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanga  Canon  Rev Chistopher Kiango ambaye ni Kasisi kiongozi wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanga  akizungumza wakati wa harambee hiyo MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa halfa hiyo WAZIRI  wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kushoto akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa Katibu wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Tanga Mtaa wa Mt.Augustino wa Hippo Chumbageni Tanga.  WAZIRI  wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kushoto akipokea mchango wa mtoto Nicolaus Galula wakati wa harambee hiyo MENEJA wa Hotel ya Tanga Beach ya Jijini Tanga Joseph

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR KUTOKA ZEC

Image
Mgombea kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad (kulia), akipokea fomu za kuomba kuteuliwa na Time ya Taifa ya  Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji Mkuu (mstaafu) Hamid Mahmoud Hamid kisiwani Unguja leo Agosti 30, 2020.  

WALIMU WA HEDHI RUKWA WAJA NA MUAROBAINI WA TAULO ZA KIKE

Image
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Winnie Kijazi akitoa nasaha wakati wa kufungua mafunzo ya Hedhi Salama kwa baadhi ya waalimu wa Shule za Msingi Mkoani Rukwa.   Baadhi ya Waalimu kutoka halmashauri ya wilaya ya Kalambo wakionesha vyeti vyao baada ya kupatiwa mafunzo ya Hedhi Salama wakiwa katika picha ya pamoja na Mratibu wa Mradi wa SWASH Mkoa Matinda Mwinuka (aliyechuchumaa kushoto) na Mwezeshaji Jesca Lwiza (aliyechuchumaa kulia)   NA MWANDISHI WETU, RUKWA UMOJA wa Walimu wa Hedhi Salama kwa shule za msingi mkoani Rukwa wamepania kuhakikisha wanapunguza fikra potofu kuhusu suala la hedhi kwa wasichana wanaovunja ungo pamoja na kukomesha utoro kwa wananfunzi wa kike wanaoona aibu kuhudhuria shule pindi wanapopata hedhi kwa kutoa elimu sahihi ya suala la hedhi mashuleni. Azma hiyo imekuja baada ya waalimu hao kupewa mafunzo yanayohusu namna ya kutengeneza taulo za kike (pedi) kwa kutumia aina mbalimbali za vitambaa pamoja na kukabiliana na wanafunzi wanaoona aibu ama fedheha pi

KATIBU MKUU KILIMO AKABIDHI GARI BODI YA PARETO

Image
Mkulima wa mbegu bora za mahindi Bw.Aron Nguma (kulia) wa Arusha akikabidhi mahindi yaliyokauka ya mbegu kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya leo alipotembelea shamba hilo Ngaramtoni kukagua hali ya uzalishaji mbegu za mahindi,maharage na ngano .Shamba hilo linamilikiwa na Wakala wa mbegu Nchini (ASA) Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya (kushoto) akikabidhi funguo za gari Toyota H/Top kwa Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Pareto Lucas Ayo  jijini Arusha. Gari hiyo imekabidhiwa ili kusaidia bodi kuhamasisha wakulima wengi kulima zao la pareto nchini.   Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pareto Lucas Ayo akionyesha funguo za gari mara baada ya kukabidhiwa  toka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya (kushoto). Hafla hiyo ilifanyika jijini Arusha. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (katikati) akitoa maelekezo  kwa dereva wa Bodi ya Pareto  Venance Haule (kushoto) leo alipokabidhi gari kwa bodi hiyo jijini Arusha .   Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (wa

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMAPILI AGOSTI 30, 2020

Image