WAPATA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MOYO

Mkurugenzi wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimpa ushauri mara baada ya kupima moyo mwananchi aliyejitokeza wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akiwafundisha namna moyo unavyofanya kazi wananchi waliotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi kwenye viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha.

Wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha.

 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"