RAIS SAMIA AKUTANA NA MARAIS WA ZAMBIA, COMMORRO NA MAKAMU WA RAIS WA MALAWI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Malawi Mhe. Lazarus Chakwera uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Saulos Klaus Chilima Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.

 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"