COMANDOO WA JWTZ WANOGESHA SHEREHE ZA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Askari wa Kikundi Maalum cha Komando   cha   Jeshi   la   Wananchi   wa   Tanzania (JWTZ)   akipita mbele ya jukwaa kuu na zana zake   wakati   wa kilele   cha   Sherehe   za Miaka   60   ya   Muungano   wa   Tanganyika   na Zanzibar   katika   uwanja   wa   Uhuru   Jijini   Dar   es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024
Askari wa Kikundi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akishuka kwenye Helikopta kwa ajili ya kwenda kuelezea namna   mbalimbali   za   kwata   na   mapigano   ya mjini wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
Maonesho   ya   Kwata   ya Kikundi   cha   Askari   wa   Jeshi   la   Polisi   Tanzania kutoka   Zanzibar   Maarufu   kama   Askari   wa Tarabushi   wakionesha   Maonesho   mbalimbali   ya aina   ya   Kwata   tangu   kipindi   cha   utawala   wa Sultan na kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.   Askari   hao   walijipatia   umaarufu mkubwa   kutokana   na   uvaaji   wa   Ko#a   zao   za Tarabushi.     Onesho   hilo   lilifanyika   katika   kilele cha   Sherehe   za   Miaka   60   ya   Muungano   wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024
Askari   wa   Jeshi   la   Polisi   Tanzania kutoka   Zanzibar   Maarufu   kama   Askari   wa Tarabushi   akipiga saluti mbele ya jukwaa kuu.
Maonesho   ya   Kwata   ya Kikundi   cha   Askari   wa   Jeshi   la   Polisi   Tanzania kutoka   Zanzibar   Maarufu   kama   Askari   wa Tarabushi   wakionesha   Maonesho   mbalimbali   ya aina   ya   Kwata   tangu   kipindi   cha   utawala   wa Sultan na kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.   Askari   hao   walijipatia   umaarufu mkubwa   kutokana   na   uvaaji   wa   Ko#a   zao   za Tarabushi.     Onesho   hilo   lilifanyika   katika   kilele cha   Sherehe   za   Miaka   60   ya   Muungano   wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024
Askari wa Kikundi Maalum cha Komando cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakionesha Maonesho mbalimbali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa   Tanganyika   na   Zanzibar   katika   uwanja   wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.
Askari wa Kikundi Maalum cha Komando cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakionesha Maonesho mbalimbali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa   Tanganyika   na   Zanzibar   katika   uwanja   wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.
Askari wa Kikundi Maalum cha Komando   cha   Jeshi   la   Wananchi   wa   Tanzania (JWTZ)   akipita mbele ya jukwaa kuu na zana zake   wakati   wa kilele   cha   Sherehe   za Miaka   60   ya   Muungano   wa   Tanganyika   na Zanzibar   katika   uwanja   wa   Uhuru   Jijini   Dar   es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"