CRDB, KLABU YA WAANDISHI HABARI Z'BAR "WAYAJENGA"

 MENEJA wa Biashara benki ya CRDB Zanzibar, Abdalla Duchi, akifafanua jambo wakati wa mazungumzo baina ya viongozi wa benki hiyo na wa Klabu ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) yaliyofanyika katika ofisi za benki hiyo zilizomo katika jengo la Michezani Mall, Zanzibar

MENEJA wa Biashara benki ya CRDB Zanzibar, Abdalla Duchi (kushoto) akizungumza na viongozi wa Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), walipofanya ziara ya kukuza mahusiano katika ofisi za benki hiyo zilizomo katika jengo la Michezani Mall, Zanzibar.

MWENYEKITI wa Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), Abdallah Mfaume (kulia) na Mratibu wa klabu hiyo, Mgeni Hamad wakimsikiliza Meneja Biashara wa benki ya CRDB Zanzibar wakati wa mazungumzo baina ya vingozi wa ZPC na CRDB yaliyofanyika katika ofisi za benki hiyo zilizomo katika jengo la Michezani Mall, Zanzibar.

MJUMBE wa Kamati Tendaji wa Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zuhura msabah akizungumza jambo wakati viongozi wa klabu hiyo walipofanya mazungumzo ya kukuza mahusiano na uongozi wa benki ya CRDB katika ofisi za benki hiyo zilizomo katika jengo la Michezani Mall, Zanzibar. Kushoti ni katibu mkuu wa ZPC, Mwinyimvua Nzukwi.

AFISA Biashara na Mauzo, Lucy Mbuya na Afisa Ubora wa huduma wa benki ya CRDB, Zainab Ally, wakiwa katika kikao cha mazungumzo baina ya vingozi wa ZPC na CRDB kilichofanyika katika ofisi za benki hiyo zilizomo katika jengo la Michezani Mall, Zanzibar.

VIONGOZI wa benki ya CRDB na klabu ya waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo baina yao yaliyofanyika katika ofisi za benki hiyo zilizomo katika jengo la Michezani Mall, Zanzibar

 

 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"