MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA DAR ES SALAAM NDUGU ABASI MTEMVU ACHANGISHA HARAAMBEE MAALUM KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA

Mwenye kiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dsm Ndg. Abas Zuberi Mtemvu Akiongozana na Mnec wa Ccm Mkoa Ndg. Juma Simba Gadafi Pamoja na M/kiti wa Ccm Wilaya ya Kinondoni Ndg. Shaweji Mkumbura, 
Wamehudhuria Katika Ibada ya Kanisa la Adentista wa Sabato Yombo Dovya Wilaya ya Temeke, Ambapo M/kiti wa Ccm Mkoa Ndg. Abas Zuberi Mtemvu Amealikwa Katika Kanisa Hilo kwa Lengo la Kufanya Haraambee Maalum ya Kuchangia Ujenzi wa Kanisa Hilo Pamoja na Vifaa vya Kisasa Kwaajiki ya Kwaya Katika Kanisa Hilo, 
Katika Haraambee Hiyo M/kiti Alifanikiwa Kuchangisha Fedha Taslim Shilingi Milioni 11,000,000
Na Ahadi Shilingi 9,000,000
Viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabado Dovya Wamemahukuru Ndg. Abas Mtemvu kwa Kuwa na Moyo wa Kujitolea Pamoja na Kukubali Mualiko wa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Haraambee Hiyo.






 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"