WANANCHI WENGI WAJITOKEZA VITUONI SIKU YA MWISHO UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA TABORA

 

Issa Said BVR Kit Operator wa tume ya Taifa ya Uchaguzi akichukua taarifa za Cosmas Mathias mkazi wa Kizigo Kara ya Ng'ambo Halmashauri ya Tabora wakati mkazi huyo alipofika kituoni hapo kwa ajili ya kuboresha taarifa zake kwenye Daftari  la Kudumu la Wapiga Kura ambapo Leo Novemba 30, 2023 ndiyo siku ya mwisho ya zaoezi hilo  litakalofingwa saa saa 12: jioni watu wengi wamefurika vituoni ili kuitumia siku hii ya mwisho kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari.

Gasper Kiswaga BVR Kit  Operator Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC akimchukua alama za vidole Bi. Selina George mkazi wa Kizigo Kata ya Ng'ambo Halmashauri ya Tabora wakati mkazi huyo alipofika kituoni hapo kwa ajili ya kuboresha taarifa zake kwenye Daftari  la Kudumu la Wapiga Kura ambapo Leo Novemba 30, 2023 ndiyo siku ya mwisho ya zaoezi hilo  litakalofingwa saa saa 12: jioni.

   

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"