RAIS SAMIA AZINDUA TOVUTI YA NYARAKA ZA DKT. SALIM AHMED SALIM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim iliyofanyika JNICC jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Ahmed Salim mtoto wa kiume wa Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim, wakifuatilia kwa makini video fupi ya kumbukumbu mbalimbali (hazionekani pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.
Sehemu ya wanafamilia ya Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za kiongozi huyo iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam Septemba 30, 2023.
Viongozi mbalimbali wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.

Wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia wa Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim mara baada ya kuzindua Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Kiongozi huyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo juu ya historia ya Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim kwenye bango maalum kabla ya kuzindua Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Kiongozi huy
kutoka kwa mtoto wake wa kiume, Ahmed Salim kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"