RAIS SAMIA AMJULIA HALI DKT. SALIM NYUMBANI KWAKE OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim, nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, mara baada ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Mwanadiplomasia huyo mbobezi kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"