RAIS SAMIA KATIKA TAMASHA LA KIZUMKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Acison, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Paje kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Paje, Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya Sanaa vikitumbuiza kwenye Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) katika viwanja vya Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea Jukwaa Kuu kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea Jukwaa Kuu kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"