RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI KIZIMKAZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi (hawaonekani pichani) mara baada ya kuzindua mradi wa Maji wa Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.
Taswira ya Mradi wa Maji Kizimkazi kama unavyoonekana pichani mara baada ya uzinduzi tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Maji mara baada ya kuzindua mradi wa Maji Kizimkazi tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Maji Kizimkazi katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"