RAIS SAMIA AIZINDUA HOTELI YA KITALII KWANZA HUKO KIZIMKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza, Bw. Hossam Elshaer wakati alipokuwa akitembelea Hoteli hiyo mara baada ya kuwasili Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza Bw. Hossam Elshaer kuashiria ufunguzi wa Hoteli hiyo iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hoteli iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Hoteli iitwayo Kwanza mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wamiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza mara baada ya kuwasili katika hoteli hiyo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akifurahia pamoja na Wasanii wa ngoma za asili maarufu kama Mwanandege baada ya kuwasili katika Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar kwenye shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akifurahia pamoja na Wasanii wa ngoma ya asili ya Zanzibar (Kibati) mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi
 Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza Bw. Hossam Elshaer wakati alipokuwa akitembelea Hoteli hiyo mara baada ya kuwasili Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"