WIZARA YA UTAMADUINI, SANAA NA MICHEZO YATIA FORA MAONESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akirusha mpira wa kikapu kwenye goli la mchezo huo Juni 30, 2023 kwenye banda la Wizara hiyo Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 47 (Sabasaba) yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akiwa kwenye kwenye banda la Wizara hiyo Juni 30, 2023 katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 47 (Sabasaba) yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"