WAZIRI MKUU MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE SALA YA EID AL- ADHA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Leo 29, June 2023, amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Swala ya Eid El Adh'haa ambayo imefanyika kitaifa Jijini Dar es Salaam katika Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohamed wa Sita, ulioko Kinondoni.








NA HUKO ZANZIBAR, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Waumini wa Dini ya kiislamu, viongozi mbali mbali wa Serikali na vyama vya Siasa Wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman katika Ibada ya Sala ya Eid Adh' ha iliyosaliwa Masjid Mushawwar Muembe Shauri Jijini Zanzibar.








 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"