MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI AHUDHURIA MKUTANO WA "CHINA-AFRICAN WOMEN FORUM"

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama  Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa “China –Afrika Women Forum” uliohudhuriwa na baadhi ya Wake Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.(Picha na Ikulu)

WASHIRIKI wa Mkutano wa Uhushirikiano Kati ya China na Afrika “China-Afrika Woman Forum” wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ma Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.

AADHI ya Wake wa Marasi na Viongozi wa Jumuiya za Wanawake wa China na Afrika wakimsiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia katika mkutano wa Ushirikiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China 29-6-2023.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mke wa Rais wa Malawi Mama Monica Chakwera, alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Xiangjiang China kuhudhuria mktano wa wa Ushirikiano Kati ya China na Afrika “China –African Women Forum” uliowakutanisha Baadhi ya Wake wa Marais wa Afrika,Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akielekea katika nafasi yake baada ya kumaliza kuzungumza katika mkutano wa Ushirikiano Kati  ya Wanawake wa Mataifa ya Afrika na China “China –Africa Women Forum” ukizungumzia maendeleo ya Wanawake, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"