JAMII IENDELEE KUJIANDAA KUJIKINGA NA MAAFA- DKT YONAZI
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akizindua Jukwaa Shirikishi la Mawasiliano ya
Kidijitali la Afya Moja na namba ya dharura ya kupokea taarifa za
maafa Juni 30, 2023 Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa
Jukwaa Shirikishi la Mawasiliano ya Kidijitali la Afya Moja na namba ya
dharura ya kupokea taarifa za maafa Juni 30, 2023 Jijini Dodoma.
Washiriki wa Hafla ya Uzinduzi wa
Jukwaa Shirikishi la Mawasiliano ya Kidijitali la Afya Moja na
namba ya dharura ya kupokea taarifa za maafa wakiafuatilia matukio
mbalimbali katika uzinduzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu Juni 30, 2023 Jijini Dodoma.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha
Kilimo (SUA) Prof. Raphael Chibunda akifafanua jambo wakati wa hafla ya
Uzinduzi wa Jukwaa Shirikishi la Mawasiliano ya Kidijitali la Afya Moja
na namba ya dharura ya kupokea taarifa za maafa wakiafuatilia
matukio mbalimbali katika uzinduzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu Juni 30, 2023 Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiwa katika picha ya pamoja na
washiriki wa hafla ya Uzinduzi wa Jukwaa Shirikishi la Mawasiliano ya
Kidijitali la Afya Moja na namba ya dharura ya kupokea taarifa za
maafa uzinduzi uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Juni 30,
2023 Jijini Dodoma.
Afisa TEHAMA Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Alex
Ndimbo akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na
Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (hayupo pichani) kuhusu mfumo wa Jukwaa
Shirikishi la Mawasiliano ya Kidijitali la Afya Moja na namba ya dharura
ya kupokea taarifa za maafa unavyofanya kazi.
Comments
Post a Comment