DKT. MSONDE ASISITIZA WALIMU KUPEWA HUDUMA BORA

Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Charles Msonde akihimiza uwajibikaji kwa Menejimenti ya Halmashauri ya Mji wa Nzega katika kikao kazi chake cha kuhimiza uwajibikaji na kufanya tathmini ya ziara yake ya kukagua ujenzi wa miradi ya miundombinu ya elimu kwenye Halmashauri hiyo.Baadhi ya watendaji wanaounda Menejimenti ya Halmashauri ya Mji wa Nzega wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Charles Msonde wakati wa kikao kazi chake cha kuhimiza uwajibikaji na kufanya tathmini ya ziara ya kukagua ujenzi wa miradi ya miundombinu ya elimu kwenye Halmashauri hiyo.

Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Charles Msonde akikagua moja ya miundombinu ya elimu inayojengwa katika Halmashuri ya Wilaya ya Uyui akiwa katika ziara yake ya kikazi wilayani humo.

 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"