Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Amuandalia Mgeni Wake Rais Wa Rwanda Mhe. Paul Kagame Hafla Ya Chakula Cha Jioni Ikulu Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni alichomuandalia mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akizungumza na Wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akiwasalimia viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akisalimiana na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Wakuu wa Wilaya za mkoa wa Dar es salaam pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023 

Viongozi wa dini na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya hafla ya chakula cha jioni alichomuandalia mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"