RAIS SAMIA AMLILIA PAPA MSTAAFU BENEDICT XVI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na taarifa za kifo cha Baba Mtakatifu Mstaafu Benedict XVI.
Katika salamu sale fupu alizozitoa kupitia mitandao ya kijamii, Dkt. Samia ameandika,
"Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Baba Mtakatifu Mstaafu Benedict XVI, ambaye alijitoa maisha yake kutumikia wengine. Natuma salamu za pole kwa Baba Mtakatifu Francisko, waumini wa Kanisa Katoliki Tanzania na Duniani kote. Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi. Amina."





Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"