UFUNGAJI MAFUNZO YA UONGOZI YA WAKAGUZI WASAIDIZI UHAMIAJI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, amefunga Mafunzo ya uongozi ya wakaguzi wasaidizi wa Uhamiaji katika chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga, mwishoni mwa wiki iliyopita.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi waandamizi wa Uhamiaji wakiongozwa na  Kamishna Jenerali  Dkt. Anna Makakala. (Picha na Uhamiaji)
























Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"