MAJARIBIO YA TRENI KUINGIA NDANI YA BANDARI YA TANGA YAFANYIKA

 ZOEZI la majaribio ya kuingiza treni ndani ya bandari ya Tanga limefanyika kufuatia kikao cha maboresho ya bandari hiyo. Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Mkurugenzi wa Huduma za Usafirishaji Mhandisi A.Kissaka amesema mara ya mwisho treni kuingia bandarini Tanga ilikuwa miaka 20 iliyopita, ameongeza kuwa  uwepo za treni hizo utapunguza gharama za usafirishaji kwa mteja.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"