JENERALI MABEYO AMUAGA AMIRIJESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya i nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo. Jenerali Mabeyo alifika Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga Mhe. Rais Samia wakati akimaliza kipindi cha Utumishi wake katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"