KATIBU MKUU CHONGOLO AZUNGUMZA NA WANANCHI WA OLD SHINYANGA

 

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwasalimia wakazi wa kata ya Old Shinyanga waliojitokeza kumlaki. Katibu Mkuu anatarajiwa kumaliza ziara ya mkoa Shinyanga leo tarehe 30 Mei, 2022 katika wilaya ya Kishapu ambapo atakagua na kuhimiza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 – 2025 pamoja uhai wa Chama.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"