SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero leo Machi 30, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Balozi huyo amemtembela Mhe. Spika kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero leo Machi 30, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Balozi huyo amemtembela Mhe. Spika kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"