MWENYEKITI WA CCM, RAIS SAMIA, AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU NA HALMASHAURI KUU, ATEMBELEA UKUMBI WA MKUTANO MKUU

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodom


Wajumbe wa NEC
Wajumbe wa NEC
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka kuhusu matayarisho ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika kesho alipotembelea ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo tarehe 31 Machi, 2022.





 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"