WAZIRI MKUU MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA UFUNGUZI WA MWAKA MAHAKAMA YA AFRIKA JIJINI ARUSHA

Waziri Mkuu KassimMajaliwa leo Februari 28, 2022 amemuwakilisha Mheshimiwa Rais SAMIA Suluhu Hassan katika ufunguzi wa mwaka wa Mahakama ya Afrika, Jijini Arusha. Mgeni rasmi katika ufunguzi huo alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho (Majimbo) ya Nigeria Prof. Yemi Osibanjo.


 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"