TANZANIA YAINGIA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA UAE

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji   kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE. 

Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiwa katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania Waishio Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE. PICHA NA IKULU 

Sehemu ya Watanzania Waishio Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE



Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"