RAIS SAMIA "AKUNJUA MAKUCHA"

NA K-VIS BLOG
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka bayana kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wake itatumia vyanzo vya mapato vya ndani na nje ili kuharakisha Maendeleo ya Watanzania.
Rais Samia ameyasema hayo Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam leo Januari 4, 2022 wakati akipokea Taarifa ya  Mpango wa awamu ya kwanza wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko 19.
"Nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu kutumia kila fursa nitakayoiona itakayoletwa ambayo naweza kuitumia kuleta maendeleo Tanzania" alisisitiza Rais Samia.
Aidha Rais aliwashukuru wale wote waliojitokeza hadharani kupinga wale wanaobeza hatua ya Serikali kukopa fedha kutoka IMF shilingi trilioni 1.3 ili kupammbana na athari za Uviko 19.
"Mikopo kama huu ulitolewa kwa Mataifa mbalimbali na wakati nchi nyingine zikielekeza mikopo hiyo kwenye  manunuzi ya vifaa vya kutibu UVIKO-19, sisi tuliona UVIKO-19 ni zaidi ya vifaa tiba na ndio maana tukazielekeza Fedha hizo kwenye miradi ya kijamii kama vile Elimu, maji, afya, Maliasili na utalii, kusaidia kaya masikini na mikopo kwa wajasiriamali.
Bila ya kutaja jina Rais amesikitishwa na kitendo cha mtu aliyeaminiwa kusaidiana na Serikali kuleta maendeleo ndio anahoji kwanini nchi inakopa.
"Ni Uhuru wake kusema chochote lakini Mtu mnayemtegemea, mna matumaini mtashirikiana nae kwenye safari ya maendeelo hutegemei atasema hicho na hasa kwasababu mabajeti na taarifa zote za kiuchumi ndani ya nyumba yake ndio taarifa zinapita lakini hii ni homa ya mwaka 2025 wasameheni". Akifafanua Rais Samia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika hafla ya kupokea Taarifa ya  Mpango wa awamu ya kwanza wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022.






 

Comments

  1. Unatafuta kampuni halisi ya mkopo wa kifedha ili kupata mkopo wa euro 10,000 hadi euro 10,000,000 (kwa mikopo ya biashara au biashara, mikopo ya kibinafsi, mikopo ya kibinafsi, mikopo ya nyumba, mikopo ya gari, mikopo ya uimarishaji wa madeni, mikopo ya mtaji wa mradi, mikopo ya afya nk. ))Au ananyimwa mkopo kutoka benki au taasisi ya fedha kwa sababu yoyote ile?Tuma ombi sasa na upate mkopo halisi wa kifedha. Imechakatwa na kuidhinishwa ndani ya siku 3. PACIFIC FINANCIAL LOAN FIRM

    Sisi ni wakopeshaji wa mkopo wa kimataifa ambao hutoa fedha halisi kwa watu binafsi na makampuni kwa riba ya chini ya 2% tukiwa na kitambulisho halali au pasipoti ya kimataifa ya nchi yako ili kuthibitishwa. Malipo ya mkopo huanza saa 1 (moja) baada ya mkopo kupokelewa. na muda wa kulipa ni miaka 3 hadi 35.

    Kwa jibu la haraka na kushughulikia ombi lako la mpaka ndani ya siku 2 za kazi
    Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia barua hii: pacififinancialloanfirm@gmail.com

    Wasiliana nasi kwa maelezo yafuatayo:

    Jina kamili: ____________________________
    Kiasi cha pesa kinachohitajika kama mkopo: _______________
    Muda wa mkopo: ___________________________________
    Madhumuni ya mkopo: ____________________
    Siku ya kuzaliwa: ___________________________________
    Jinsia: ______________________________
    Hali ya Ndoa: ___________________________________
    Anwani ya mawasiliano: ___________________________________
    Mji / Msimbo wa Eneo: ___________________________________
    Nchi: ______________________________
    Kazi: ___________________________________
    Simu ya rununu: __________________________

    Tuma ombi lako la jibu la haraka kwa: pacififinancialloanfirm@gmail.com
    asante

    Afisa Mtendaji Mkuu :Pen Fed VICTORIA JOHNSON

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"