RAIS SAMIA AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipokua akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji baada ya kukamilisha ziara  yake ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyeji wake Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Kikundi cha ngoma ya asili ya Msumbiji alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Msumbiji alipowasili  katika Uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na  Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili katika mji wa Pemba Nchini Msumbiji  kwa ajili ya ziara  ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Msumbiji, Philipe Nyusi wakati akizungumza na  Vyombo mbalimbali vya Habari Nchini Msumbiji kufuatia ziara yake ya kikazi nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika uwanja wa ndege wa Dodoma alipokua akirejea nchini kutoka nchini Msumbiji baada ya kukamilisha ziara  yake ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

 

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"