Thursday, June 10, 2021

WAZIRI WA FEDHA DKT. MWIGULU NCHEMBA AWASILISHA BAJETI YA SERIKALI 2021/22

 

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akionyesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26, inayowasilishwa hivi sasa, Bungeni jijini Dodoma.(PICHA KWA HISANI YA OTHMAN MICHUZI WA MICHUZI BLOG).

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiingia bungeni tayari kwa kuwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26  
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26.  

0 comments:

Post a Comment