RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA- IMF IKULU, DODOMA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF-) Abebe Aemro Selassie Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021.
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika (IMF) Abebe Aemro Selassie akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan yaliyofanyika Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021. (PICHA NA IKULU).

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"